STORY:MACHOZI YANGU SEHEMU YA KWANZA

 JINA LA STORY:MACHOZI YANGU
MTUNZI: ESTER MWAKABONGA
SEHEMU YA 1



Leyla ni mtoto aliyezaliwa katika familia ambayo baba yake na mama yake wote wanauwezo hivyo waliweza kumudu kumuhudumia mtoto wao kwa kila k2,maisha yalibadilika pale ambapo baba mzazi wa mtoto huyo alipofariki na kumuacha mtoto huyo mikononi mwa mama yake.Mama yake alifukuzwa ndani ya nyumba waliyokuwa wakikakaa pamoja na mtoto wake mkononi,tabu na matatizo na visa viliendelea kwan ilifikia kipindi mama yake alipofukuzwa kazi bila kosa lake kulijua,leila alikuwa ni mtoto mzuri sana na alipendwa na kila mtu aliyemuona,shida ikaja pale ambapo mjomba wake leila alimchukua kwa ajili ya kuenda kumlea na hapo ndipo mtoto huyo alipoona maisha kwake yamekuwa machungu kwan shangazi yake akumpenda kabisa na hivyo kumfanyia visa vilivyopelekea leila akiwa darasa la nne kwenda mahakamani kutoa ushahidi. Je Leila alienda kutoa ushahidi wa nini na ni kisa gan kilichofanya akaenda mahakamani? uckose kesho mchana sehemu ya pili?

No comments:

Post a Comment